What's New
Speeches
Mkereketwa
Official Policy Documents
Official Working Documents


 



Hotuba za Mh. Rais na Mwenyekiti wa CCM


 

Mwenyekiti wa CCM ndiye kiongozi mkuu na ndiye msemaji mkuu wa CCM. Mwenyekiti wa CCM anachaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM   wa Taifa na anakuwa katika nafasi hiyo ya uongozi  kwa  muda  wa  miaka  mitano, lakini anaweza kuchaguliwa tena baada ya muda huo kumalizika.

 

Mwenyekiti wa CCM anaweza kuondolewa katika uongozi kwa azimio  litakalopitishwa  katika  Mkutano Mkuu  wa  CCM  wa  Taifa  na  kuungwa mkono  na  theluthi  mbili  za  Wajumbe kutoka Tanzania Bara na theluthi mbili za Wajumbe kutoka Tanzania Zanzibar.

 

Anakuwa Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa, Halmashauri Kuu ya CCM  ya  Taifa  na  Kamati  Kuu  ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa.   Katika mikutano anayoiongoza zaidi ya kuwa na kura yake ya kawaida Mwenyekiti anakuwa pia na kura ya uamuzi endapo kura za Wajumbe wanaoafiki na wasioafiki zitalingana

   

Habari Zaidi:

   
     

ccm flag



Email
Links
Contact Us
CCM Creed   Conditions for Membership   Aim and Objectives

Chama Cha Mapinduzi believes that all human beings are equal

 

It is easy to be a member of CCM as its conditions for membership are directed towards an integrity citizen

 

CCM aims at defending the independence of our country and the freedom of its citizens

© COPYRIGHT 2002-2010
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
P.O. BOX 50, DODOMA - TANZANIA [TELEFAX: +255-22-2185245; EMAIL: katibumkuu@ccmtz.org]